Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini Bw. Godfrey Simbeye (kushoto) akifafanua jambo kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa Mtandao wa Mitaji ya Ubia Tanzania – Tanzania Venture Capital Network uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Muasisi wa Mtandao wa Tanzania Venture Capital, Bw.